Uanafunzi

Jifunze ujumbe wa jumla wa Biblia kuhusiana na mada muhimu sana kwa kila mwamini kuzielewa. Hapa mwamini utajifunza nini Biblia kwa ujumla wake inafundisha kuhusu mada husika. Hivyo maada hiyo itaaelezewa sio kwa kufuata ujumbe wa kitabu kimoja cha Biblia bali kwa kuangalia vitabu mbalimbali vya Biblia vinafundisha nini kuhusu mada hiyo husika. Mada hizo zitakuwa ni kama vile Wokovu, Roho mtakatifu, Maombi, Utoaji, n.k.

Maombi
Biblia
Roho Mtakatifu
Utoaji
Wokovu