Kanisa

Jifunze kwa habari ya kanisa. Ukurasa huu unatoa mafundisho mbalimbali yanayohusiana na nini maana ya kanisa, nini kusudi la kanisa ,Njia za kibiblia za kanisa Kutimiza makusudi yake, Shughuli za Kanisa, Kanisa na matumizi ya Fedha na rasilimali, Kanisa na ushirika, Uongozi katika Kanisa, Mamlaka ya Kanisa na Hatma ya Kanisa. Pamoja na hivyo ukarasa huu utatoa taarifa mbalimbali za kihistoria  na za sasa kuhusiana na kanisa duniani kote

Kanisa ni nini?
Shughuli za Kanisa
Fedha na Rasilimali
Kanisa na ushirika
Uongozi katika Kanisa