- 1 Section
- 3 Quizzes
- 0m Duration
Kitabu cha Ezekieli - Mtihani wa Mwisho
3 Quizzes
MAELEKEZO
1. Mtihani huu una jumla ya sehemu kuu mbili.
2. Jibu maswali yote katika sehemu ya kwanza na chagua maswali manne katika sehemu ya pili A na maswali mawili katika sehemu ya pili B.
3. Jibu maswali sehemu ya kwanza bila msaada wa kitu chochote.
4. Jibu maswali ya sehemu ya pili kwa kutumia msaada wowote (kama vile Biblia au notsi binafsi au kitabu chochote) isipokuwa msaada wa kimtandao kama vile matumizi ya Google au Chatgpt.
Want to submit a review? Login
Free
Register Now
