Mwongozo & Ufafanuzi
Mwongozo
Ni maelezo ya kukusaidia na kukuongoza unapoamua kusoma kitabu husika cha Biblia. Maelezo haya yanahusisha taarifa kama vile Mwandishi wa kitabu husika ni nani, waandikiwa wa kitabu hicho wa awali walikuwa ni watu gani, walioishi maeneo gani na wakati gani.
Ufafanuzi
Ni maelezo ya kina ya maana ya ujumbe wa kitabu husika cha Biblia. Ufafanuzi unatoa maelezo ya maana ya kila mstari, aya na sura katika kitabu husika ili upate kuelewa mwandishi wa kitabu husika cha Biblia alikusudia kuwasilisha ujumbe gani kwa wale aliowakusudia kuwaandikia.
Agano La Kale
Agano Jipya

Mathayo – Mwongozo na Ufafanuzi
SomaMathayo – Mwongozo na Ufafanuzi
Ezekieli – Mwongozo na Ufafanuzi
SomaEzekieli – Mwongozo na Ufafanuzi
Warumi – Mwongozo na Ufafanuzi
SomaWarumi – Mwongozo na Ufafanuzi
Wimbo Ulio Bora – Mwongozo na Ufafanuzi
SomaWimbo Ulio Bora – Mwongozo na Ufafanuzi
Zekaria – Mwongozo na Ufafanuzi
SomaZekaria – Mwongozo na UfafanuziAgano La Kale
Mwongozo & Ufafanuzi wa agano la kale
Agano Jipya
Mwongozo & Ufafanuzi wa agano Jipya