Mwongozo & Ufafanuzi
Mwongozo
Ni maelezo ya kukusaidia na kukuongoza unapoamua kusoma kitabu husika cha Biblia. Maelezo haya yanahusisha taarifa kama vile Mwandishi wa kitabu husika ni nani, waandikiwa wa kitabu hicho wa awali walikuwa ni watu gani, walioishi maeneo gani na wakati gani.
Ufafanuzi
Ni maelezo ya kina ya maana ya ujumbe wa kitabu husika cha Biblia. Ufafanuzi unatoa maelezo ya maana ya kila mstari, aya na sura katika kitabu husika ili upate kuelewa mwandishi wa kitabu husika cha Biblia alikusudia kuwasilisha ujumbe gani kwa wale aliowakusudia kuwaandikia.
Agano La Kale
Agano Jipya
Mfululizo Wa Kihistoria Wa Matukio Yaliyomo Katika Vitabu Vya Biblia – Agano la Kale
SomaMfululizo Wa Kihistoria Wa Matukio Yaliyomo Katika Vitabu Vya Biblia – Agano la Kale3 Yohana- Mwongozo na Ufafanuzi
Soma3 Yohana- Mwongozo na UfafanuziHagai – Mwongozo na Ufafanuzi
SomaHagai – Mwongozo na Ufafanuzi1 Wathesalonike- Mwongozo na Ufafanuzi
Soma1 Wathesalonike- Mwongozo na Ufafanuzi2 Yohana- Mwongozo na Ufafanuzi
Soma2 Yohana- Mwongozo na UfafanuziAgano La Kale
Mwongozo & Ufafanuzi wa agano la kale
Agano Jipya
Mwongozo & Ufafanuzi wa agano Jipya