Mwongozo & Ufafanuzi
Mwongozo
Ni maelezo ya kukusaidia na kukuongoza unapoamua kusoma kitabu husika cha Biblia. Maelezo haya yanahusisha taarifa kama vile Mwandishi wa kitabu husika ni nani, waandikiwa wa kitabu hicho wa awali walikuwa ni watu gani, walioishi maeneo gani na wakati gani.
Ufafanuzi
Ni maelezo ya kina ya maana ya ujumbe wa kitabu husika cha Biblia. Ufafanuzi unatoa maelezo ya maana ya kila mstari, aya na sura katika kitabu husika ili upate kuelewa mwandishi wa kitabu husika cha Biblia alikusudia kuwasilisha ujumbe gani kwa wale aliowakusudia kuwaandikia.
Agano La Kale
Agano Jipya
Obadia – Mwongozo na Ufafanuzi
SomaObadia – Mwongozo na UfafanuziAmosi – Mwongozo na Ufafanuzi
SomaAmosi – Mwongozo na Ufafanuzi2 Timotheo- Mwongozo na Ufafanuzi
Soma2 Timotheo- Mwongozo na Ufafanuzi2 Petro – Mwongozo na Ufafanuzi
Soma2 Petro – Mwongozo na Ufafanuzi1 Petro- Mwongozo na Ufafanuzi
Soma1 Petro- Mwongozo na UfafanuziAgano La Kale
Mwongozo & Ufafanuzi wa agano la kale
Agano Jipya
Mwongozo & Ufafanuzi wa agano Jipya