Mwongozo & Ufafanuzi

Mwongozo

Ni maelezo ya kukusaidia na kukuongoza unapoamua kusoma kitabu husika cha Biblia. Maelezo haya yanahusisha taarifa kama vile Mwandishi wa kitabu husika ni nani, waandikiwa wa kitabu hicho wa awali walikuwa ni watu gani, walioishi maeneo gani na wakati gani.​

Ufafanuzi

Ni maelezo ya kina ya maana ya ujumbe wa kitabu husika cha Biblia. Ufafanuzi unatoa maelezo ya maana ya kila mstari, aya na sura katika kitabu husika ili upate kuelewa mwandishi wa kitabu husika cha Biblia alikusudia kuwasilisha ujumbe gani kwa wale aliowakusudia kuwaandikia. ​

Agano La Kale

Mwongozo & Ufafanuzi wa agano la kale

Agano Jipya

Mwongozo & Ufafanuzi wa agano Jipya