Mwongozo & Ufafanuzi
Mwongozo
Ni maelezo ya kukusaidia na kukuongoza unapoamua kusoma kitabu husika cha Biblia. Maelezo haya yanahusisha taarifa kama vile Mwandishi wa kitabu husika ni nani, waandikiwa wa kitabu hicho wa awali walikuwa ni watu gani, walioishi maeneo gani na wakati gani.
Ufafanuzi
Ni maelezo ya kina ya maana ya ujumbe wa kitabu husika cha Biblia. Ufafanuzi unatoa maelezo ya maana ya kila mstari, aya na sura katika kitabu husika ili upate kuelewa mwandishi wa kitabu husika cha Biblia alikusudia kuwasilisha ujumbe gani kwa wale aliowakusudia kuwaandikia.
Agano La Kale
Agano Jipya

Waefeso – Mwongozo na Ufafanuzi
SomaWaefeso – Mwongozo na Ufafanuzi
Habakuki – Mwongozo na Ufafanuzi
SomaHabakuki – Mwongozo na Ufafanuzi
Mambo ya Walawi – Mwongozo na Ufafanuzi
SomaMambo ya Walawi – Mwongozo na Ufafanuzi
Yona – Mwongozo na Ufafanuzi
SomaYona – Mwongozo na Ufafanuzi
Waebrania – Mwongozo na Ufafanuzi
SomaWaebrania – Mwongozo na UfafanuziAgano La Kale
Mwongozo & Ufafanuzi wa agano la kale
Agano Jipya
Mwongozo & Ufafanuzi wa agano Jipya
